Radio Tygerberg
Tygerberg 104 FM ni stesheni kubwa zaidi ya redio ya jamii ya Kikristo nchini Afrika Kusini. Ilianzishwa mwaka 1993 huko Tygerberg na pole pole ikakua na kuwa maarufu katika eneo hili. Kutokana na asili yake ya kidini, stesheni hii ya redio ni ya kihafidhina na inaunga mkono maadili ya jadi.
